Kweli the society is rotten

Mpaka wanaweka modified trailer to steal from other kenyans. You order a lorry load of sand and they deliver 1/3. Sad.

https://i0.wp.com/ugnews24.info/wp-content/uploads/2020/10/A-truck-pictured-on-the-highway._0.jpg

inaitwa false bottom.

No. Homo

hio ndio kazi yake?
kuiba sand?

Amongst other things

[ATTACH=full]378846[/ATTACH]

Ukichunguza vizuri utapata tu ni Okuyu piece of shiet doing that. Greeeeed!!
No wonder within the next few years, Kikuyu businesses will have been replaced.

[SIZE=5]Only a fool would make the payment before the sand is delivered. You pay on delivery![/SIZE]

ndio niliacha kufikiria mambo ya revolution, electing good leaders, Kenya/Africa being great…
sisi wote ni wezi na we usually get attracted to watu kama sisi bila ata kujua.
hakuna vile mwenye hio ataenda kudemonstrate Kenya ni mbaya na pesa ako nazo juu ana analipwa full na ana deliver nusu. hakuna vile ataenda kuvotia mtu si mwizi akuje abadilishe mambo kwa ground.

vote for those who will support your way of life.
so ata wenye wansema at WR ni mwizi ati wakenya wasimvotie ati wataumia, tutavotia mtu anaiba kaa sisi. mtu Hustler kaa sisi.
si mtu kesho atakuja abadilishe pahali tunatoa chakula ya kila siku

Spot on. Kuna siku mmoja alijaribu huu upuss akanipigia eti kwenye wameendea mchanga kumenyesha wanangojea mvua iishe ndio watoe lorry. Nikamwambia sawa. Ikafika six jioni nataka kutoka ngamia inanipigia kuniambia eti watamwaga usiku since wamechelewa niende tuu. Told the fucker awache mchanga ilale kwa lorry amwage asubuhi nikiwa. Jamaa alijaribu all tricks in the book to convince me eti niambie watchman aangalie wakimwaga since kuna job anaraukia asubuhi nikamwambia by 5am nitakuwa site asiwe na wasiwasi. He had to come clean na nikamwambia sitaki mchanga yake.
How a people can set out to establish a business based on treachery is beyond me. Utaibia wangapi before ukuwe blacklisted or worse upatikane Ndakaini?

This a a reason why china and other international countries are given projects nyi muwe watu wa mkono…you cant be trusted.

What was the problem?

Nayo hii ghasia hushinda kwa garage ama ikisimamishwa na polisi.

Ukifanya haramu shida hukuamdama.

Hata WA kuuza sand pale Kisumu, na wale wa pale Ukambani pull similar stunts. You’ve got too much bile na Okuyu.

Jamaa wanted kumwaga lorry nusu and get full pay.

Na ulikuwa unataka kulipa nusu umwagiwe full ,in other words hukufika bei

Hii wizi ndio inafanya mchukiwe.

Halafu watufanye nini?

Ile siku wataamua kutukimbiza sisi wote tusindiliwe central.