Leo mtaani nilijionea kisa cha ujinga kupindukia.Imagine mtu alijaribu kuchomelea gas cylinder. Ati alidhani juu gas imeisha anaeza ifanyia repairs kiasi or whatever the fool was thinking. Anyway ile mlipuko ilitokea hapo, jamaa alipatikana some meters away akapelekwa hosi.
tuma sauti ya mlipuko…otherwise ni pang’ang’a:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Roll call ianze:: wakanyama !!!
Mzee Mjingah??!!
ALILIA @Davidee ?
:D:D:D:D:D:D
sijaona @Bingwa Scrotum leo. good riddance
Sai najua unalia ju ya hio story
:D:D:D:D:D:D:D
Niruhusu nikuite COOOOOMMMEEER
hivi tuseme mtungi ulikuwa umetoboka au? muguka yenye wanashikisha siku hizi si kamili…
Majibu yanichekesha.
Hehehe . no way any sane man would weld a gas cylinder…unless he has a negative IQ. How now
yaani @Davidee hatawahi wachwa na hiyo story :D:D:D:D almost 2 year now
[ATTACH=full]55055[/ATTACH]
:D:D:D:D
Hiyo story ni ngumu kusahau. Ilistick kama glue.
[ATTACH=full]55073[/ATTACH]
Brutal kizee.