Na mtaujuwa ukweli na ukweli utawaweka huru.
[I] Biblia Yohane 8:32[/I]
Na sema: Ewe Mola wangu! Nipitishe kunako mlango wa ukweli na hishima, nanitowe kupitiya mlango wa ukweli na hishima. Na unipe nguvu kutoka kwakozenye ushindi zinisaidie.
Qur’ani 17:80