Ishakutokeaa hii??
Mimi nikigegeda siku mbili mfululizo, alafu nikienda mazoezi lazima miguu na magoti iumee.
Inanibidi nikae siku mbili bila kugegeda ndo niende mazoezi.
Kawaida, kila siku lazima niende mazoezi jioni, sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani kugegeda na miguu au magoti kuuma ukitoka kugegeda?
Kwa jinsi ninavyopenda mazoezi, inafika kipindi nakataa papuchi ili nisisitishe mazoezi.
Maumivu ya magoti wakati wa kufanya mazoezi husababishwa na lactic acid kama matokeo ya metabolism. Kwamtu mwenye afya umara oxygen inarekebisha hali hiyo mara moja. Ndiyo maana miguu ikiuma unapumua haraka ili upate oxygen nyingi uwezavyo. Hii theory yako labda wanasayansi waifanyie uchunguzi zaidi na unaweza kuingia kwenye Guiness book of records ukatutoa kimaso maso wa-Tanzania.