Kwanini Mwenyezi Mungu katika ' Amri ' zake 10 hii ya Kutokupiga ' Chabo ' Watu wakinonino hakuiweka?

Hahhahahahaaa eti wote tungeenda motoni…

Hivi kama nikiangalia porno nayo ni chabo pia?

Hii nayo ni chabo tu in a video form…

Mimi nisingekubali

Kitabu cha mambo ya walawi kina sheria nyingi mno mpaka utashangaa,mfano mtu mwenye kipara cha asili hatambuliwi kama ni mkamilifu so alikua haruhusiwi kuwa kuhani katika hekalu la bwana. Nashangaa siku hizi wachungaji,maaskofu,manabii na vipara vyao sijui hawasomi maandiko???

Aisee…hii kali

ukitamani umezini.
kupiga chabo, puchu/mgalala/mastabesheni/kujichua, kutamani usizini ni kuzini.
Hizo zote uwezo wa kuziacha uko nje ya uwezo wa kibinadamu ikiwa Yesu hajaingilia kati kuwezesha.

Fahari ya macho haifilisi duka…

Cc: @Mahondaw

Duh!

Teh!

uwepo wa mungu ni imani binafsi sababu huwezi kuprove physically
kwa mfano mimi naamini kuna divine intelligence/super natural power ambayo wewe unaita mungu
lakini super natural power ninayoiamini mimi sio yehova,allah wala chrishna

Nimekusoma chief

Hiyo inaingia kwenye ile ya kutuzuia kutaman

maoni mazuri. Ila kwangu Imani ya Mungu ni Universal na iko inbuilt kwa kila mwanadamu. Imani hiyo inampa mwanadamu kuchagua kuiamini au kuibishia.