[SIZE=6][FONT=tahoma]Nawasalimia ndugu zangu. Habari za saa hizi?[/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Sipendi kuwapotezea muda mwingi.
Kwanza muziki ni sanaa ambayo kila kiumbe duniani hupenda kusikiliza. Wanyama wa mwituni, watoto, hata ndege pia hupenda kusikiliza muziki.[/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Kwa sababu muziki ni sanaa ni muhimu kabisa kuwepo na utaratibu wa uwasilishaji wake kwa watu. Sote tunajua kuwa muziki huburudisha, hufundisha na vilevile hutoa maonyo.[/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Tanzania imefanikiwa kwenye nyanja za muziki kutokana na kuwekeza katika muziki na kukubaliana na tamaduni zetu za kiafrika. [/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Siri ya kubwa ya kwanza kabisa kwenye muziki wa Tanzania ni matumizi ya lugha ya kiswahili. Matumizi hayo ni pamoja na kutumia vina kwenye mashairi, misamiati mipya na tamathali za semi.[/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]UTUMIAJI WA VINA
Wasanii wote wa Tanzania wanaaswa kutumia vina kwenye mashairi ya nyimbo zao. Hii inaleta ladha zuri kwa msikilizaji. [/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]MF: Zuchu mwambieni
Mhhh mh mh
Mhhh mh mhhh
Mhh mh mh
Mhh
Eeeeeh kaja omba nirudi[COLOR=rgb(226, 80, 65)]a
Kazirejesha sala[COLOR=rgb(226, 80, 65)]m
Zamani kakumbuki[COLOR=rgb(226, 80, 65)]a
Ameumisi uta[COLOR=rgb(226, 80, 65)]mu
Kaacha kopa kalamba gara[COLOR=rgb(226, 80, 65)]sa, kaishiwa masiki[COLOR=rgb(226, 80, 65)]ni
Mpeni taarifa za beti mkwa[COLOR=rgb(226, 80, 65)]sa mi simkumbuki si[COLOR=rgb(226, 80, 65)]ni[/FONT][/SIZE][COLOR=rgb(226, 80, 65)]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Kuweza kuandika mashairi yenye vina ni lazima uwe umebobea kwenye lugha husika.
Kuanza kutupia lawama wasanii wengine ni muhimu kujua namna ya utungaji wa nyimbo na mashairi.[/FONT][/SIZE]
[SIZE=6][FONT=tahoma]Nitaendelea…[/FONT][/SIZE]