swali nyeti
1.They are afraid of the consequences of irresponsibilities Eg loud music, alcohol & drugs abuse with peers within the premise, ushenzi mwingi.
2. Defaulting. Mhuni akienda kazini, anaenda na 98% of his properties unlike the couple. Anaweza hama bila land owner/ manager kujua.
Kwangu lazima wa sign a request form with 11 rules & regulations at the agent office before waruhusiwe, any slight deviation watakumbana na bouncers with hoodies( on payroll) wakihamishwa before the notice/ deposit period is over. It’s not a secret.
Family men are more responsible, prefer stability (hawaami sooner), and have more household stuff (kuhama ni headache)
Bachelors are non-committal.
Loud music, kutomba dotas wao,drug abuse and selling drugs to kids, kutomba ma mbotch or khupipi wao and bring chaos, [SIZE=6]seeing a bachelor enjoying his freedom na pre wall soft meat na wao wanaumia planteshen[/SIZE] etc
Niliwahi pata keja pale Ngara area ya super mambo, kusikizia yule mama ilikua kibarua kweli, eventually alikubali alipoona watu wa jaba hawana maneno.
Ukiona sheria kama hizo, just know that the economy is still doing fine. When things are thick, landlords will beg you to be their tenant, regardless of your marital status, age, sex or ethnicity.
As a slumlord I can tell you 95 per cent of rent defaulters are single men. Minimizing risk.
Watu wanafanya downgrade ni wengi sana hivyo hii yako is unfounded.
Utafunza watoto wao usherati
Hizi ni chocha tu. Sahii unaingia ata bila deposit.
You missed my point. I will give you an example. Back in 2020 and 2021 hapo, wakati wa Corona, landlords were literally begging everyone to rent their houses juu uchumi ilikuwa mbaya zaidi. So ukiona masharti ni mingi, then landlords haven’t felt the heat.
It is not like that requirement iliwekwa jana. It has always been there with some landlords. But I get your point.
Kuna apartments zingine ambazo they don’t allow people with kids…
How do you explain that @mkenya001
with kids hio sijawahi sikia unless ni life threatening kwa watoto
Kuna moja nilipata ya mama mmoja alikuwa anapeana servant quarter for rent, but requirement ilinifanya nijitoe. Ilikuwa lazima uwe mwanaume na hujaoa…sijui kwa nini…
kwa hivyo kila nyumba na masharti yake, i didnt know that
Kids are destructive little shiits. Kama hapa kwetu kuna time wao hugonga gate na mawe ama kufungua wakifunga na ni ku-bang. Kuchora chora ukuta. Screaming fwaa. Kuvunja vitu. Na mtoto ukimguza kidogo unaona mamake anakuja akihema, anakuuliza kama unajua uchungu wa kuzaa. Ukiona hivyo ni landlord ashawahi pitia nasty experience courtesy of some retarded brat and their parent.
Noma bachelors wanafaa kutafuta single rooms huko Eastlands hao ndio target, nyumba za thao tatu za wale wanaanza life
Huwa wanahama na giza.