Kwani watuwa "ULEVI SACCO" wako mgomo?

Any ways mimi nimepitiya kwa “anticipated weekend Dry Fry material” unannounced nikapata ako na impromptu bash na madme wenzake
sasa kichwa yangu inagonga 3some tu [ATTACH=full]56711[/ATTACH]

Wait till their guys show up, wamekwama kwa Jam.

homa ndiyo zangu tu , ka-vodo na Krest ndio kata tuliza [ATTACH=full]56712[/ATTACH]

Ndio hii Caldina ya @Mathaais

[ATTACH=full]56713[/ATTACH]

kweli watawezana na 6 foot 5 inche giant, 115kgs body weight with 0% body fat ?

hii naikamua hadi kwa settings

In GREEK we say “Njogu irundagwo ni mushakwe”…tafakari hayo

igithii ku? ni njaamba?

Unfortunately,its an American Property :cool::cool:
[ATTACH=full]56715[/ATTACH]

kama unataka peace, usijaribu kukunywa pombe yeyote iko hapo made in india especially hio robertson…meffi tupu

From the jubilee convention , having one with the boyz @ the locals [ATTACH=full]56716[/ATTACH]

POTUS ni wetu :):):slight_smile:

Hapo umenena ,Others nikama ,Mc-dowels,Mac-mohan …

Kuhaimbana

Kama hujakula nyama poa mcdowels itakuonesha mambo

crazy cock ni pombe ya shida cheza hivi

Birrionaires nyinyi hujulia wapi izi changaa za india?

hi mimi hapana elewa , usungo pliz

ulevi SACCO

[ATTACH=full]56725[/ATTACH]

Mzee io bar DJ. CK! the faq. Enyewe birrionaire wa huku ni wannabes