Kwani muliiba aje Equity Bank, Kila mahali Biometrics! Is this even legal?

Its been a while kabla niingie hii Mungiki Bank, but wueh, watu wa ICT/BCM wanakula vizuri huku!!!

Top notch systems, Staff very articulate!! Ukikaa unakaa @johntez_addi_gaza_ms noma sana.

But bank ya maana ni KCB. Sijawahi ona hii ujinga nikama unaenda kuapply passport for a simple transaction less than 1M.

Nwy, im impressed with their ICT progression, I think itakuja tu like the ticketing system ya wavetec

3 Likes

@Yuletapeli Bado you still have an account at Equity?

1 Like

Kuja standard chartered. Bank ya birrionaires

3 Likes

Kuja ncba bank inajali wa Kenya. Wananipea loan ya 450k unsecured. I just press press on the app taslim inakuja. Nataka hio limit ikifika 2m naingia embobut Siberia. I will make sure nimechunisha Gathecha vile alirape our public coffers.

8 Likes

1 Like

It’s growing walianza na elfu 17.

1 Like

Mita mbili isikufanye uishi kama gaidi hii dunia. Hio haitoshi kukusustain huko embobut.

1 Like

U dont need 17 million to be happy

Ata 17k uko sawa bora proper planning

3 Likes

Lakini ukiiba, usiache pesa kidogo ikumalizie starehe za maisha. Hio 2m haitakawia alafu utaanza kuishi na mashida kushinda za 9k salo ile ya @captain_obvious.

2 Likes

NCBA si ilinunuliwa na kcb

2 Likes

Nope

1 Like

Mimi nimechoka na KCB. Niko na loan na wao wanabehave like shylocks. Loan inapanda na kushuka venye wanataka.

3 Likes

Hehehe walinipeh unsecured ya 500k through the NCBA app, ilinisaidia mahali pakubwa nikachukua gari ilikua inauzwa on distress sale,sold it, made my 220k and nikailipa, payable in 9 months sijui at 59k, though yangu nililipa after two months once I sold the unit.

4 Likes

mayalla


men to (II) boys

Hapo ndio naweka birrions kiasi za matumizi ya daily ya kinyumbani na job. Tangu waniibia naweka pesa kidogo tu

17K labda uwe bachelor na haulipi rent na hauna starehe ya kudunga nguo kali kali

1 Like

Mbwa wewe , jiwekee hizi picha kwa walet unyonge malaya hii

1 Like

Barack Obama Mic Drop GIF

1 Like

Lipeni loan elders

2 Likes