Kwani mnatoa wapi pesa.

Naona kijana alishika BMW X6 mbichi. Congratulations to him. Nikicheki pale YouTube subscribers ata hawajafika 100k so nashangaa kwani hii pesa mnatoa wapi exactly ama Ni God?
[ATTACH=full]492148[/ATTACH]

Usipewe pesa na hawa watu wa Instagram, 90% are living a fake life. Nikama yule mkisii kazi ni kupost BMWs kumbe anuza kunyi behind the scenes.

:D:D:D:D:D…Work on your social capital , improve your phone book Sio kua na namba Kama , Pato wa gas, Caro wa wines and spirit na Wanyonyi caretaker.

Word

Hio kiatu haikai x6

nyumba ya pili na ya tatu tutasave aje?

with those shoes he’s wearing thats a lie [COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=7]BIG LIE[/SIZE]

Upuss

Beware of successful people who can’t substantiate their wealth…

Who the hell is the boy?

What color is your Bugatti?

Jamaa flani ako na channel inaitwa States Entertainment hapo YouTube. Anasema ni pesa ya writing na crypto.

Ingia pale youtube states entertainment ucheki.

Alisema anadunga writing na trading forex.

I also thought of the same…

Kuna venye he doesn’t look the part. At ALL.

Maybe he hasn’t grown into his new found wealth.

Tuko na malaya ingine hapa ya crypto ukimuuliza vile thafu inaenda anaanza lingo mingi kama ule msee husoma news za ghetto radio.

Umempata na hiyo gari ama ni zile vako za kuendea drinks kwa expensive resorts, alafu mnajifanya mnaenda choo kumbbe ni pics ndo zinaenda kupigwa kwa gari za watu?

:D:D:D

Yeah Yeah.

Ukicheki hii video amesema ni crypto ndio imefanya aomoke.