Kwani mchele ladies wote huwa sura mbaya ama wanatumia dawa..Kilimani man is the latest victim..

Mimi kwa man cave niko na madogi zingine wazimu. Nabeba kunguru … tukiingia nafungulia madogi. Hata uniwekee mchele haina gani … hakuna vile unatoka hio nyumba bila Mimi ku approve.