I usually see wazungu in these US movies drinking so casually any time of the day and yet they don’t easily get drunk. You will find these guys with bottles of vodka or whiskey all over the house pouring shots in the morning, afternoon, night and just gulping without even diluting. Mimi nikichapa tot mbili za Smirnoff asubuhi siwezi hata enda kazini. That day will be as good as wasted.
2 Likes
Okay
Omogaka kwani wewe ni bure namna gani? You are the fools that think WWE wrestling is a real sport. Omoisi oyo, yaa! Bladi bure kabisa.
1 Like
Tot mbili za smirnoff zinakupeleka aje. Bure kabisa.
Wrestling na pombe ziko related aje?
Makali huwa yananibeba haraka. But chupa naweza kunywa Sana bila kulewa. For example nikienda lunch nikule nyama lazima niteremshe na Whitecap ama Tusker mbili na bado niruddi job
Yaani omoisi huezi ona hio connection? Both are make-believe, ghasia!
3 Likes
Thanks mogaka
1 Like
na sitakofunsa isi vitu tena yaa
Osichoke kofunsa Mimi omogambi
Mbwaaa
Nikama ukileweshwa na balozi moja utapeana mkia Kwa pharmacy
Omuchifu mbitika yaa
Ni ukweli ndio maana hard drugs ndio zao.