kwani drone hukuwa kubwa aje?

[MEDIA=twitter]1360825706066964480[/MEDIA]

Predator drone huwa refu kuliko Cessna 172.

Na Cessna 172 inatoshana aje?

gugu

This is a mid sized drone, there are even bigger ones,like the US drone that was shot down in the straight of Hormuz by Iranian missiles sometime last year

hio missile ya hio drone inaitwa hellfire missile inakuwanga na misumeno kama mia moja ndani ikishalipuka mahali kama stage ya ambassador hizo misumeno zinaendelea zikitembea kukata watu mpaka Jeevanjee gardens, hio ndio blast radius . hivo ndio waliuwa ule Generali wa Iran Souleimani akikamua dem kwa gari.

Birrions za uncle Sam zimelala kwa.msituni hivyo tuu? Machos!

thank you for confirming you don’t have a brain
:D:D:D

[ATTACH=full]349825[/ATTACH]

Navy Seal uncle…

ni ukweli
inafunguka kama umbrella lakini sasa ni mavisu alafu inawasha motor na kuzunguka kama blender.
kama uko kwa convoy na hawataki collateral. wanapitisha kwa roof na kukusiaga kama maembe

fupi kuliko predator drone

Ninja bomb /flying ginsu . Has 6 samurai blades

Mbona drone ikuwe na size limit? It’s the same design as a plane, just with a computer in place of the pilot

Hao watu wange bomoa hio drone haraka kabla navy seal team 6 wafike hapo Ku secure crash site ya high value asset na kufagia kufdead any bonobo within sight. Hapo kuna valuable tech wanaweza uza na huko Iran,N.Korea etc. Alafu enda pale Manda bay kuna Americans drone ukitaka kuona size yake. Pia huyo jamaa wa hellfire missiles awache kuona movie mob za commando.