Kwako Tundu Lissu na Zitto Kabwe

TUNDU LISSU na ZITTO KABWE ndio Muda wao sasa huu kwenda kuganda Angani kwenye Mawingu kama Popo Kuzuia Safari ya Chombo wasichopenda kuona wala kusikia…

“Nyumbulism is an Art for the Puppets”

Kitu kinakuja
Mungu ampe maisha marefu Rais wetu

sidhani kama itafika

Asylum seekers wa technology wakiugulia maumivu ya Jiwe ugenini.

wee kweli mpuuzi unapata wapi ujasiri wa kumsifia huyo dikteta wakati na wewe upo huku ukimbizini au bado mnalipwa buku saba na huku

Braza sijamsifiamtu hapa! Au unataka nianze kukusifia wewe!

Huo ni mzigo mwingine kwa walipa kodi wadanganyika

sikio la kufa halisikii dawa…what goes around comes around

Sanaa!

Wewe mbwa

Wakimbizi wenzangu hamjambo.magu anatutesa balaa.nashukuru kwa alienitonya kuna kambi ya wakimbizi huku kenyatalk

Mbwa mamako

Magu anawatesa kiaje

usitake watu waugue vichaa upya sababu walivyonavyo vinawatosha

Sasa mnataka kugombana na huku ugenini. Subirini turudi nyumbani.

Karibu ndugu

Hahaha Dah Asante comrade, sijui ni balaa gani bwana limetokea mle ila no sweetie yote maisha na kambi popote

Hahaha sasa mkuu tufanyaje tukilete kile kitengo chetu huku tuanze kuwakimbiza hawa mbwiga home kwao hahahaha where’s ichoboy01

Hapa tumefikaje?

Heri hata ilipuke njiani, tena ndani ya ndege apande yeye na wanachama wenzie ikifka tanzania, na muda huohuo ilipuke.

Hivi huu UKUKU na huku upon…!!!