Kwa wanaomjua huyu Jamaa.

Hivi huyu Mr angekua bongo unadhani angepata hata ubunge kweli???
Mwandishi gani wa habari hapa TZ ana “balls” kama huyu.https://www.kenyans.co.ke/sites/all/modules/copyprevention/transparent.gifhttps://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSp1RgRGUIrOjIVdhaMwAqIsUiqHwd_HDymGnIF2YwPec7SLAg2iWyor0K3

Wa wapi huyu mkuu?

mkenya huyo ni noma anaichamba serikali bila woga

https://softkenya.com/kenya/mohammed-ali-jicho-pevu/

Dooh! Kajitoa muhanga sio?

Shukrani mkuu…

Nasisi tunae Pascal Mayalla hahaha

Mkuu hayo sio ya kuuliza, kwa Bongo yangemkuta kama yaliyo wakuta Tundu Lisu, Ben Saanane au Mawazo. Kma sio hivyo basi mwli ungeokotwa Coco Beach au kando ya mto Ruvu. Usicheze na wasiojulikana jamaa ni noma kishenzi.

Shikamoo Tanzania nashukuru wametufikisha hapa… hatua kumi mbele hatua mia nyuma… alijisema Tundu Lissu akimalizana na upinzania ataenda kwa wengine hilo liko wazi kabisa

bunge lilimtia nyavu kakausha nimemuona huku yupo

Kazi ya mwandishi ni kuichamba serilali? Basi njoo nawewe unichambe nshakunya

Mkuu,kuna nyavu inaitwa kokolo ni nomaaa,inakumba hadi mayai ya thamaki

bongo tutamng’oa meno!

Angekua bongo huyo angeshakutana na wazee wasiojulikana

Jicho pevu ,Tanzania hatuwezi kuwa na kipindi km hicho,ingawa Jerry muro alijaribu ktk kipindi cha usiku wa habari

Alishawahi kukimbilia Sweden kipindi Fulani

Huku angeshakula pyu pyu pyuuu

Mayalla kawa mpole sasa

Unamuamini jerry muro na kuweza kumuandika adharani, siamini jerry muro kama alikuwa peke yake.