Kwa wale wanaoishi nyumba za kupanga

Ukiachana na kupika mapocho pocho mazuri zaidi yake ni kitu gani huwa kinaleta ugomvi na Mama/baba mwenye nyumba wako bila sababu yeyote

mie ni… kupandisha sauti ya bufa wakati yeye hana bufa

Eeenh

Uswahilini

Akiona natoka na familia yangu jioni kwenda kujivinjari,kesho yake lazima anune…

Kuleta hawara wako wakati alishaanza kukuita mkwe

leo akiniona na huyu, kesho mwengine

Kuleta demu anakaa wiki mbili halafu usimtambulishe

yeye inamuhusu nini au icho kipengele cha utambulisho kipo kwenye mkataba

Mkuu si vile unakuta alianza kukuita mke afu Nigga ukaleta Demu, hata kumwambia Mama mgeni wangu huyu anaitwa flani, wanapishana tu