Leo tunaenda angalia highlights za mechi za makundi yote
Na kagame cup
Nataka kombe la ulimwengu
Hilo leo hakuna…labda nikutafute tucheze letu
he he he aisee kumbe ndo mbinu zenu ee
Ndioo
Mbona nimeambiwa ratiba iko palepale?
una uhakika hakuna mechi, basi sawa
Hahaha
Nshapata wa kucheza nae
Kwani si unatakiwa upangiwe na tff? au ni ndondo cup
Tff ndo mie, nshajipangia mechi ya kirafiki
bahati mbaya wife ni chizi mpira pia…kombe laangaliwa home huku sinia la ubwawa likiwa mezani
Wamekuharibia?