Kwa sasa unaweza Install JamiiTalk App (WebApp) kupitia Main site ya JamiiTalk

Kuinstall JamiiTalk App Tembelea tovuti yake ya www.jamiitalk.com kisha fuata hatua hizi;


Au bonyeza hapa kusoma zaidi
https://jamiitalk.com/threads/install-sakinisha-jamiitalk-app-kwa-watumiaji-wa-android-ios-na-kompyuta-hakuna-haja-ya-kudownload-hatua-za-kufuata.721/

Kwa sababu gani

Ni wewe uliombwa namba ya suluhu wanakijiji waongeze mileage ukaringa

Tunawakaribisha kujiunga na Mtandao huo na kuinstall App yake ili kutumia kwa urahisi

Hapana sio mimi

Mkuu hio foramu yenu ni ya usenge Sana Kaka , haina seksheni ya malumbano ya kitanda a.k.a sieks and relationships

Hahaha mkuu mbona unataka kuwa mgeni kule?
Kuna jukwaa la Sex, friendship and relationships since day one ilivyo anzishwa.
Kubwa zaidi Kuna jukwaa la Adult chamber limeanzishwa.
Tembelea uburudike zaidi na JamiiTalk