Wakati Fulani nlisoma habari katika page ya clouds juu ya utafiti uliofanywa DSM na kugundua kwamba wanaume wa Dar wanaongoza kwa ugonjwa wa akili
je chanzo ni nini jamani,halafu akili ikiwa ovyo hata nguvu za kiume zinaisha na hili tatizo ni sugu kwa wanaume wa Dar,nini hasa chanzo cha ukichaa wao!??