Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti ya mwenendo wa biashara yako.

Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

  1. Urahisi wa Kutunza Kumbukumbu - Inarahisisha ufuatiliaji wa mauzo, manunuzi, na gharama za biashara kwa urahisi.

  2. Usimamizi wa Fedha - Hutoa ripoti za kifedha kwa muda mfupi na inasaidia kupanga bajeti na kutathmini faida na hasara.

  3. Ufuatiliaji wa Malipo - Inawezesha kufuatilia malipo ya wateja na mikopo wanayodaiwa.

  4. Usimamizi wa Wateja na Wauzaji - Inasaidia kutunza taarifa za wateja na wauzaji kwa urahisi

  5. Usimamizi wa Stoo/bidhaa - Inafuatilia bidhaa zilizo stoo na inakupa taarifa za bidhaa zilizokwisha au karibu kumalizika

  6. Rahisi Kutumia - Ni rahisi na rafiki kwa mtumiaji, haihitaji hata D moja ili kuweza kuitumia

  7. Inarahisisha usimamizi wa usambazaji wa bidhaa kwa wateja (Delivery)

  8. Inakuwezesha kurekodi taarifa za wateja wanaolipa kidogo kidogo

Android: https://play.google.com/store/apps/details?id=sb.swahilibuy.com

iPhone: https://apps.apple.com/app/smartbusiness-bookkeeping-app/id6504250445