Kwa nini tunatumia kizungu mahakamani ilhali hatukijui?

Nasikitika sana tunapokuwa tunajivunia lugha yetu adimu na adhimu ya kiswahili halafu muhimili mahakama una ikumbatia lugha ya kingereza katika kufanya mashauri yake ie haati ya mashtaka, viapo nakala za hukumu nk zote zipo katika lugha ya kizungu mbaya zaidi kizungu chenyewe sasa kibovu Mungu ndo anajua, hakimu anaandika broken anampa karani achape ambaye naye anazidisha clerical ama typing errors mwisho wa siku kinatokea kitu cha ajabu MUHIMULI MAHAKAMA TUMIENI KISWAHILI KATIKA KUENDESHA MASHAURI YENU KWANI SIO KINYUME NA SHERIA

Tanzania inawenyewe sijui kama jiwe anajua hilo.

Hahah

wanataka jiwe lijifunze nakukijua

Kiswahili chake watakiweza kweli…

Cc: @Mahondaw

Nadhani sababu kubwa ni kiswahili fasaha kwenye maneno ya kisheria bado hakija zaliwa

Mkuu huhitaji

Mkuu huhitaji kiswahili fasaha kumwambia mtu kuwa mahakama hii imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na umekutwa na hatia hivyo na kuhukumu kwenda jela miaka miwili…badala yake kitaandikwa kizungu ambacho ukitafsiri inakuwa imepoteza maana

Sawa mkuu

[FONT=courier new]Hivi ID yako ilitakiwa iwe ’ Chemical Ali ’ au '[COLOR=rgb(184, 49, 47)] Chemial Ali ’ kama inavyoonekana hapo? Tuanzie hapa Kwanza manake tusije tukawa ni wepesi kuwashutumu wengine kutokujua Kiingereza wakati kumbe wapo na wengine ambao hata majina tu ya Watu husika na waliokuwa muhimu wanayakosea kuyaandika.[/FONT]

kaka tulikubaliana tangu jf usichangie nyuzi zangu hope huku hukuja na lugha zako za matusi

Utalidhibitije kuchangia nyuzi zako mkuu?

[quote=“Manjagata, post:11, topic:164250”]

Utalidhibitije kuchangia nyuzi zako mkuu?
[/QUOTE

Ujuaji mwingi akizidiwa hoja anatukana matusi ya nguoni wa TZ hatuko hivyo[/QUOTE]