nimekutana na hii kenyatalk mwananchi online.
kwa kweli ngoja nichukue namba hata kwa kusoma tu.
nitarudi nyumbani JF siku ikirudi, ila ninaimani duni na haba kama msimu huu bahari ya sham itapasuka tuvuke kurudi kwetu.
nimeburudishwa na uwepo wenu wadau, wa jukwaa mchanganyiko
sijui kama hata JF ikirudi itakuwa kama zamani. Itakuwa ya kuibia ibia na ujanja ujanja tu. Kambi popote. Tuweke tu kambi hapa moja kwa moja.
pia nawaza. hivi jiwe hawezi kuzuia hii Kenyatalk isiwe inapatikana Tz? JF wamekubaliana na hawa jamaa watumie jina lao?. ila huku naoana kuna uhuru mkubwa sana wakuzungumza.
JF ikirudi nadhani tutabaki ma-verified user tu, maana masharti yamekuwa magumu…
Sijuti
June 14, 2018, 4:38pm
4
nimekutana na hii kenyatalk mwananchi online.
kwa kweli ngoja nichukue namba hata kwa kusoma tu.
nitarudi nyumbani JF siku ikirudi, ila ninaimani duni na haba kama msimu huu bahari ya sham itapasuka tuvuke kurudi kwetu.
nimeburudishwa na uwepo wenu wadau, wa jukwaa mchanganyiko
Ndugu yangu mwarabu mwenzangu wa pemba karibu jukwaani
melo kwani atakubali kufuata masharti ya kutuchoresha?
Hakuna ajuaye ndugu yangu.
Mimi nitabaki huku huku, kule nitawaachia wakina Boniface Kichonge.
Mbona Melo alisema kuwa JF itaanza kupatikana mapema zaidi kwa walio nje ya Tz au ndio imekuja kwa staili hii japo yeye mwenyewa anaikana Kenyatalk