Kwa mara ya kwanza kabisa Upinzani inakwenda kwenye uchaguzi bila Mgombea mwenye ushawishi.

Wakati uchaguzi mkuu ukikaribia; kambi ya upinzani mpaka sasa ni Kame kwa kukosa shamrashamra za wagombea/ mgombea atayechuana na CCM Katika kinyanganyiro cha nafasi ya Urais.

Tulizoea kuona na kusikia mbwembwe zinazoambatana na tambo mbali mbali za ushindi muda mfupi kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Mpaka kufikia sasa kambi ipo hoi bin taaban bila ya kuwa na dalili yeyote ya kupata tumaini la kuleta upinzani kwa chama tawala.

Kama hali ikiendelea hivi ushindi wa CCM ni dhahiri.

Mawazo mgando

Unataka uwasikie wapi wakati wakiongea Dikteta Magufool anatuma watu wakaue mfano ni Tundu Lisu.
Acha kujitoa ufahamu hujui tunatawaliwa na chizi hadi muda wake wa kifo ndio ataamua kuondoka.

Akili za kushikiwa hizi. Na kwa akili yako fupi huyo dhalimu, muuaji, mwizi, muongo, mwenye kudharau katiba, mahakama, sheria za nchi, Bunge na Watanzania ndiye anaushawishi wa Watanzania kumpa kura lakini wakati huo huo anahofia kuruhusu katiba mpya ya vyama vingi na tume huru ya uchaguzi. Hebu tutolee uzwazwa wako huku!!! Peleka Lumumba. Eti ushindi kwa CCM ni dhahiri!!! Akili za wapi hizi? Ushindi hauwezi kupatikana kwa katiba ya chama kimoja na tume huru ambayo ni ya CCM na haina uhuru hata chembe. Hebu tumia akili japo kiduchu tu badala ya kuandika upuuzi kiasi hiki.

Wewe endelea kuishi kwa hisani ya jirani yako.

https://www.youtube.com/watch?v=X6mOPGcqxtQ

Elimu yako ni ya kiwango gani?

Mpuuzi wewe…
Kujibu mpumbavu kama wewe inataka moyo haswaa.

Jiwe lina ushawishi gani labda?

RUDI NYUMBANI, umefata nini huku???

Mnataka mumjue sasa hivi ili mkammiminie risasi, mbwa nyie.

Si mda wa kazi huu kwanza siaaa mlishazuia watu wafanye kazi nenda kafanye kazi kwanza
Huna tofauti na tahira

Mama tulia, huu mchezo hauhitaji hasira. Kamanda wa anga akiwepo kitini 2020, mbona washamba wote watanyooshwa. Ukizaliwa mjini ni degree tosha. Nyie wa Nyamirembe, Ilyamchele, Iparamasa, Kachwamba, Kasenga, Katende na Kigongo mtampokea mtu wenu hapo CHATTLE airport.

Elimu yake itakuwa haina kiwango

Mkuu wewe umeshajulikana tayari. huo upande uliopo wasiojulikana wenzako hawapo huko hahaha

Basi we wasiojulikana unawajua mkuu

Ugonjwa wa kiharusi umekuzidi

Hivi kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa unaweza sema kitu kama hicho??golikipa umfunge kamba kwenye nguzo ya goli halafu uanze kujisifia leo tumepiga mabao kweli!!mngeacha uwanja sawa hakuna makatazo ndio ungeweza sema hivyo!!mimi wakati anaingia nilizani labda upinzani ungekufa NATURAL DEATH kumbe kifo cha kulazimisha kwa kuunyima hewa kwa kabali na vilungu lakini bado upo tu!!shame on u

Hakuna fair game kabisa… ni mwendo wa kuvunjana magoti ili mpira ukimbie nao mwenyewe…

Cc: @Mahondaw

teh, kumbe lumumba mpo