[FONT=courier new]Nainukuu bila hiyana hapa ambapo amesema " [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Tangia niwe Mtoto hadi nimekuwa hivi na sasa naanza Kuzeeka sijawahi kuona Mke wa Rais yoyote Duniani akiwa amebeba Mimba ila wengi wao tumekuwa tukiwaona wakiwa na Watoto ".
Kwa kauli hii ya Mwanasiasa ’ machachari ’ wa Afrika ya Kusini Julius Malema unadhani kama ni Bange / Bangi anayoivuta itakuwa inatokea katika nchi gani hapa Afrika?
hila katika kumbukumbu zangu kuna waziri mkuu mmoja wa uingereza alipata mtoto downing street number 10 ni Tony blair lakini issue hapa ni Rais sio waziri mkuu
Huenda kukawa na lakufikirisha kidogo katika kauli yake, hebu fikiri kidogo, ni mke wa raisi yupi aliwahi kujitokeza public akiwa na tumbo kama wafanyavyo wake za watu wengine maarufu.