Ghafla nmejikuta sumo Tanzania kimawasiliano. Naona tumekuwa wakimbizi wa kihabari. Haya yanatosha kuniondolea uzalendo wangu wote dhidi ya viongozi wa nchi yangu.
Asanteni ndugu zetu wakenya kwa kutupokea
karibu jiskie upo nyumban
Nmepatwa na hasira yenye kukata tamaa. Admns kama wana namna ya kutumia watu ujumbe kwenye email zao wafanye hivyo ili kijiwe chetu kiendelee hapa. Wengi sana hawana taarifa za hii link
kweli kabisa wengi hawatajua…labda tuhabarishane tu hivi hivi ata hao wachache watakaokuja
Mmmmh eti uzalendo?
Huko JF tu mlikua mnataka nchi ifilisiwe kabisa huo uzalendo mliuanza lini?
Mmmmh eti uzalendo?
Huko JF tu mlikua mnataka nchi ifilisiwe kabisa huo uzalendo mliuanza lini?
Wanasema kuna six stages of grief
[ol]
[li]Denial[/li][li]Anger [/li][li]Bargaining [/li][li]Depression [/li][li]Acceptance [/li][/ol]
Nadhani wana JF wa zamani bado tupo kwenye stage 1, denial
Jiwe alaaniwe
Tunatia huruma sana…tupo kama yatima!maisha bila jf ni magumu sana!ngoja tukomae na ndugu zetu wa ke,
Kwahiyo wazalendo mnaweka masharti magumu kwa wanyonge ili washindwe kuanika uozo wenu ninyi wanafiki ili muifilisi nchi vizuri
Sikulaumu wewe lawama na laana watazibeba waliokuwezesha kuja duniani.
Idiot.
NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA NAICHUKIA SERIKALI YA MAGUFULI
Hatari sana
Kwa hiyo uzalendo ni kuwa kila kitu ndio mzee??hata hao wanaoonekana wanasema ndio mzee juani,gizani ndio wanaotoa siri nje!!
Yana mwisho…
Cc: @Mahondaw
Kwa kweli