Ahsante kwa kenyatalk kutusitiri sasa JF imerudi kama zamani.
We nenda tu mkuu, wengine utatuacha.
Nimeona Melo amepos.
Hapa wengi tunaona ni salama zaidi.
Kweli imerejea kwa hewa
Nendeni, mie nabaki huku huku
Twenzetu home ndugu
mie Na log off Mazima
Mwenye kwenu kwaheri,tunakutakia safari njema
Hatoki mtu hapa KT.
Kwaherini KT asante kwa kutuhifadhi
Huo wimbo umenikumbusha mbali sana!!amina chifupa na waziri sonyo!!daaa asante sana
Amina Chifupa ameingiaje kwenye huo wimbo? Au nae alikuwa mwanamuziki?
Watu uuuuuuuuuu…
Wasalimie, waambie sie bado tupo tupo huku
Kweli
wengine tutabaki huku huku…wao waende tu kwa kweli
Karibu tena
Wewe unaenda pia??
Siendi sehemu mimi bado nipo humu humu
Poa
Tupo pamoja