Kuwa mwema

“KUISHI KWARESIMA NA HURUMA”
Ijumaa, Februari 19 2016,
Juma la 1 la Kwaresima

Eze 18:21-28;
Zab 130: 1-8;
Mt 5:20-26.

KUWA MWEMA!

Leo, Nabii Ezekieli anaweka mbele yetu matarajio ya Mungu kwetu sisi. Anatoa sura ya Mungu akiwa amejawa na huruma kwa wale wote ambao hutubu dhambi zao. Hata hivyo anamuonesha Mungu akiwa hakimu wa haki aliye mwema asiye pendezwa na mabaya. Mungu hataki mtu aliye katikati (anayechanganya mema na mabaya kwa wakati mmoja), yeye anatazama kila mmoja wetu katika nafsi nzima.

Katika Injili, Yesu anatarajia pia kuona hali kama hiyo ikitoka ndani ya mioyo yetu. Hatujaitwa na Yesu ili “tufanye” mema tu pekee bali pia “tuwe” wema. Haya yanaanza na mahusiono yetu na watu walio tuzunguka. Tofauti na sehemu nyingine, leo Yesu hatuambii kwenda kupatana na jirani zetu bali anatuambia tuende kupatana na ndugu zetu, dada na kaka. Leo anatuambia tuwafanye watu wote walio karibu nasi kuwa familia. Hii ndio maana halisi yakutuambia tuwe wema kutoka ndani kabisa ya mioyo yetu, sasa hatuna majirani, bali tuna ndugu zetu, dada na kaka zetu.

Sala.: Bwana, Nisaidie kuwa mwema. Amina.

1 Like

QUARESMA BADO AKO BARCELONA?

QUARESMA BADO AKO BARCELONA?

the yellow bug is a Jehovah’s witness freak

@uwesmake thats times two. I heard you!

No. Roman Catholic

Kama ni Ricardo quaresma…huyo alicheza Barca akiwa kipii; now a Besiktas nugu.

2 Likes

You guyz … you only think of football … ! Remember God too!

3 Likes

What team he play for?:slight_smile:

Argentina…remember “The Hand of God”?

1 Like

That also. The pope comes from there too!