Kuwa Mkenya mtrue.. Ongezea

1.Ukiomba pan upike chapati unairudisha na chapati mbili???

2.ukimaliza form four unaendea computer studies

3.Sim 1 must be safaricom

4.That the remaining water after brushing teeth is for washing the face

5.ukioga Lazima wakuulize unaenda wapi.

  1. Mtu wenyu akienda majuu laxima mmzindi clan mzima airport.

  2. Kxa ploti, kitu ikipotea na ww ni kijana u are the first suxpect.

  3. Ukiingia na dame mgeni ploti on a Sunday afternoon kilax MTU anafikiri nix kigongi inaenda happn

Ii utoto peleka fb ama kwa group za whats app za familia yenu…mbwa Sv

My SIM one isnt Saf.
Huwa siombi pan.
Maji ya kubrush meno ikibaki mimi humwaga.

Meffi post…

Shule yenyu kumbe mnakubaliwa kua na simu…

We khoisan xaxa rudi Namibia.

Now that ovacado imeanza kurudi kwa market hawa NV wamekosa topic ya discusion

wakanda peoples need you

:D:D:D

Siishi Kwa Buroti…
Mbaff