kuuliza tu

Hizi handles watu huzitoa wapi kama hii inzhener otmetka inatamkwa aje?

4 Likes

Inzi na omena

3 Likes

Amuj isokum?

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza…

Nimeuliza hii swali siku mingi hanijibu,nikama last week Mr some say alinitembelea hosi,imagine kama ni inzhener otmetka ndio amekutembelea how do you introduce him to your pals:D:D:D

Niaje inginia ondiek.

1 Like

You just go like… Na huyo ni…ebu wa ambie ile jina yako…

1 Like

When I called him Eatner Inashomeka mlinicheka…

2 Likes

Kuna mwingine ujiita ‘babu kahare kwa toilet’ :D:D

2 Likes

INZIHYENA OTMEKA

mi pia nmeshindwa kuitamka ati 'mbo-i-kwa miti

2 Likes

:D:D:D

iamgohitigthshitbagdtgatts yule shoga Wa kijiji. ile hunimaliza ni @Dicarlo mambo smatta msee

1 Like

@Unataka kujua ili?
:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like