kuuliza tu

Hizi
majina watu hutoa wapi…jina kama bingwa scrotum, kadinyi, thirdman. Nataka kujulishwa.Na mtu asijaribu kuleta mafeelings hapa:D
.

Wanaitwa mavajo brathe… bingwa scrotum labda ni mtu ana gwadi moja:D

1 Like

hapa mtatuonyesha maneno.

Majina Kama @Paul kabugi straight outa National Identification achia twitter.

6 Likes

unanifikiria saa saba usiku swali nalokuuliza ni;

[INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][INDENT][SIZE=6]Je nitakupatako aje???[/SIZE][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT][/INDENT]

tuanze na kutwambia @ebbie ulitoa wapi…ama ni short ya ebbenezer?

2 Likes

Upuss

Pamba,safi kama BABA.

Lol,hizi za outa I.D get me shaking my head,hadi passport photo Kaa profile pic