Hawa watu lakini wautoa hii pesa wapi ya kuchoma.40 screens in one matatu how much does it cost .Is this investing au money laundering.Just asking villagers.
.[ATTACH=full]114245[/ATTACH]
Shughulika na kazi yako. Ya wengine haikusaidii.
Mind your own business NV. If he is breaking even, it doesnt matter the input!
Like @pimpin5000hoes said
I hate it when idiots think telling somebody: ‘mind your own business’ is intelligent. Na kama huyu kijana anauliza ili afanye biashara kama hii ya matatu? Ama awe anataka kujua kule anaweza pata cheap screens?
This is the kind of stupidity that keeps Africa down. Kumbafu nyinyi…
ahem…but he has already concluded it’s a waste of money…
We bambika tu ndani ya matt. Why do u care?
Ata we cheki vile ameuliza hiyo swali, ata amesuggest kuna money- londaring inaendelea apo hivo.
Nimengoja equalizer ya pioneer ishuke bei lakini bado
-
Source?
Other business e.g the 20-sumn year old investor ‘ngamia’. (South C)
Bank loans. Huge % of owners fall here, e.g G-Unit (Buru) -
Cost of 40 screens?
A lot. But all noob investors are discouraged from going down this path first. -
Investing/money laundering?
Usione mali ya mtu wivu. That’s the key to making it kwa ma3 industry.