KUULIZA SIO OJINGA NI UPUSS CHALLENGE

@introvert The Alliance Alumnus by relationship man ,@Some Say shait, @uwesmake makmende and late entrant @pamba wa USB joins their table (last as usual). Pamba anameza mahindi choma faster faster Na kuitisha glass. Anaweka gilbeys three quarters,anaweka maji Na kupiga sip. Ana belch.

Wana agree wafanye collabo. Wanaimba pub. Tena wanarudi kwa table wanasema wako pamoja. Introvert anaitisha round ingine. Hawa wengine hawana any. Ni ma hungry tigers. Wanaichapa. Kidogo kidogo wana sign agreement of singing together. Lakini wakienda kuimba kila mtu Na tune yake.

@Some Say shait kanaanza kusema kabla @pamba wa ma USB akuje walikuwa wamesema yeye ndiye Ata dance pekee yake.

Haya wanaenda home. @uwesmake anapigwo Na bibi.

Few days after, @Some Say shait kanawapea siku Saba waamue Kama kanaenda dance floor pekee yake.

Nauliseko? Hawa watu wako pamoja?

Ahsandeni

18 Likes

Afande msanii wa mafumbo…

2 Likes

Si ujinga ni upuss

1 Like

Mama Kulichy sio mchezo anashika uwesmakei kwa makei nakumvuruta hadi dance floor

2 Likes

:D:D:D umenimaliza. @admin patia @bjurmann star mbili.

2 Likes

@Some Say = watermelon
@pamba = madvd
@uwesmake = weta
@introvert = Baboun aka TMT

8 Likes

Weeee VS… Unapatia @introvert ammunition ya gunia wiki hii. Cheza chini ama niende kitui nikuroge.

@bjurmann lazima ungesema some say uongeze shait?

3 Likes

Meanwhile @Some Say ametuma @Yollo ajaribu kuzima ile moto iliwashwa na @kingolonde
.
Hassan Omar Hassan
29th March, 2017
THE WIPER DEMOCRATIC MOVEMENT - KENYA
PRESSRELEASE
The Wiper Democratic Movement - Kenya takes note of statements attributed to Minority Leader Hon. Francis Nyenze on his preference of H.E. Hon. Stephen Kalonzo Musyoka as the National Super Alliance (NASA) Presidential flag bearer. It is reported that Hon. Nyenze further indicated that Wiper will leave NASA should Hon. Kalonzo not be named flag bearer.
From the onset, let me reiterate Wiper’s unwavering commitment to NASA. Wiper is further conscious of its obligation to this nation and its posterity to bring to an end Jubilee’s misrule. Wiper believes that this can only happen through a broad opposition front to face Jubilee during the August 8th, 2017 general elections. Conscious of this fact, Wiper will support any decision as to who becomes the flag bearer.
The Wiper leadership has advised Hon. Nyenze on the possible anxiety his reported statements are likely to cause or have caused. Hon. Nyenze will therefore hold a press conference tomorrow Thursday 30th March, 2017 at 10:00am to clarify any issue and reaffirm Wiper’s commitment to NASA.
SIGNED
HASSAN OMAR HASSAN
SECRETARY GENERAL
WIPER DEMOCRATIC MOVEMENT - KENYA
.
.
@kingolonde is known to have a mind of his own na sioni akiita press conference.
Interesting times ahead

4 Likes

@Yollo = Hassan Omar
@kingolonde = Francis Nyenze aka mende

2 Likes

Hehehehe!! Is there, will there ever be a day when CORD/NASA will ever show unity and common purpose??

1 Like

hapa watu wa UOTP wako MIA , D- haigwes comprehend chenye kinaendelea shaiit :D:D

btw @bjurmann umechiizi

5 Likes

Wachana na sisi watu Wa only D minus

1 Like

:D:D Kdf kuwa mpole

Ati wot time :D:D

:D:D:D
Shait.
Hawa watu wamekunywa Gibleys yangu.

1 Like

:D:D:D:D:D

1 Like