Kuuliza si ujinga...

Kwa wale Wana watch champion league nauliza, was the Manchester city goal a classical example of a double? Yaani 2 in 1 ama? [ATTACH=full]16767[/ATTACH][ATTACH=full]16767[/ATTACH]

Kitu kama hio…

Inafanana hiyo

Video muhimu, was entertaining the board by then.

Hio bao nimecelebrate bana. Ilikuwa inipatie pesa.