Napata hisia kama nimetumbuliwa aisee. Itanichukua muda kupazoea huku, JF ina raha yake na huku bado sijaipata. Mwenyezi Mungu aniongoze katika kijiji hiki maana kule hata pakirudi hewani sipaamini tena
Hivo hivo sasa tutafanyaje mkuu?? Wacha tu tuanze maisha mapya ugenini…
Ahhha haaa ,yote maisha mkuu lkn soon utakuwa village elder
Pole sana mkuu, itabidi kupazoea tu maana hakuna namna nyingine.
Siamini hata mimi nimekua Mwanakijiji.
Vp serikali ya kijiji hiki?
Mwanzo mgumu mkuu…!
Kwa bahati mzuri Mimi bado Village elder huku lakini Nina wasiwasi na account yangu Kule JF najiskia nimepoteza sana.
Acha tu, Ile privacy ya kule sijui kama huku ipo. Nahisi kama Jiwe na watu wake wapo kazini hapa kijijini
Jiwe alijitia bao mwenyewe hapa hawezi Fanya lolote…anajutia mwenyewe.
Mama Tanzania!
Basi tu, walichoona ni jukwaa la siasa tu. Inatia hasira sana
tatzo sio new vs elder, tatzo kwa nini watuite ma villager watu hatuna chocho tusizozijua kuanzia mwenge, manzese, kko mpk posta. Hii inawahusu wale wa kwetu ushirombo na chato kwa yule zwazwa mwenye bichwa kama furush la ushirombo lililojaa mabunda na pepeta za ifakara
Hivi Village elder amemzidi mzee wa mtaa kwa cheo? Exile kaazi kweli kweli.
Hahaha
Dah, sijaelewa hii Villager yamaanisha nini. Kwa kizungu changu ni Maana kijiji, sasa kama sio dharau nini?? Kwetu tz kuitwa mwanakijiji INA maana hujui vitu, mshamba nk. Sasa wazeeee tunaingia HD Kenya? Why tuwe wabush??
Mkuu nawaza wale wa Darisalama sijui mioyoni mwao wanaupokeaje huu uwana kijiji.
Sababu kule nyumbani ilikuwa Ligi Wanaume wa Dsm vs wa Mkoani.
Hahahaaa. Lol
New villagers tupambane na hali zetu hakuna namna
Mimi.nashauri tujichimbie hukuhuku nako kutakuwa vizuri sio muda mrefu
Hii kali…you made my day mkuu
Si tumetangaza wenyewe kuwa kilimo ndio uti wa mgongo,sasa kwanini wasituite ma Villager…