Kutoa hangii plus nuks

[ATTACH=full]299289[/ATTACH]

https://www.youtube.com/watch?v=a7PAVimy3lM

https://www.youtube.com/watch?v=nPLV7lGbmT4

wanaume wenye kukaa na soks kwa nyumba, nini inakuwanga mbaya na nyinyi?

:D:D

EABL haiwes enda hasara kama hawa ni watu wanakunywa Monday mchana.

hapo sio kwao, ni kwa jirani, so lazima wangetoa viatu wakiingia.

ile loss watatangaza tu ngojea tu

Eka timestamp Ghaseer! Ama tuseme hii picha ni ya 2016,

:D:D:D omwami anatuwekea picha ya krisi

[ATTACH=full]299291[/ATTACH]

Hiyo miguu ni ya mwanaume ama dame, mwanaume ni kuparara miguuu!!!

Ni Umama.

Aiiiii wacheni kuanika @kanguthu bwana.

@kanguthu naona atreast jiggers zimeisha,sasa tutaona vile tutafanyia hizo makucha mandicure

Ungeishi majuu kiasi ungejua maana ya kuvaa socks mtu akiwa indoors. For now wacha nikuwache hapo

You are right. Sijawahi ishi majuu.

Lakini wewe vile ulikuwa unaishi huku I am sure hukuwa unakaa na ma soks kwa nyumba.

Yes true sikuwa navaa socks kejani. Hata at times nilikuwa navaa njum bila socks at times something I will never do again here.

Hii kuishi majuu huwafurisha vichwa na ni tunyanye ndio tumtu tunaosha huko after 35years hataki kurudi home juu hana kakitu kakuonyesha chenye alifanya huko for 35years serrrreeee.
Kwanza @Panyaste★ hananga nyumba,anashindanga ameenda kila mahali mpaka kwa choo na ka backpack kamebeba boxer moja,toothbrush na condom.

They is a reason I gave that reason but u decided to go personal. Look at the response of the recipient I replied to.

Anyway pple abroad or who have been there wear socks indoors coz of various reasons which if I mention to your thick skull will think am flossing so I shall let it rest.

TBH I don’t know it any other way. Socks kwa hao sisi wote from dad to the little boys. That is how we roll. I think it is a v big industry here. From trainer socks, to furry socks, to socks with funny messages…maybe ni weather manenos…sjui.
Come to think about it we top up as we buy stuff kwa supermarket.

Maliza huyo kijana wa Hitler

Si sorry bas

Hii ilikua deek fest hakuna hata ka wine to hint there was a female in the vicinity