Sijui kama hio link iko sawa ju siku izi attachment haziwekeki… @Purple after kupata courage mingi sana KTalk aliamua achangamkie bwana vile alikosa kuleta pesa nyumbani…
Wale humuelewi Greek:
Purple: Mimi ndio mwanamke ama mwanaume kwa hii nyumba??
Omuhubby: Wachilia kidole basi ama uume yote.
Purple: Watoto wamekula??
Omuhubby: Wacha basi niende nitafute pesa nilete.
Katoto: (crying) Mooom… Mooom
But I think those adults there walifaa kutoa katoto nje banae
Hii nayo apana :D:D:D… Sasa wataishi aje baadaye?? Iko poa kama wataachana lakini kama watarudi tu wakae pamoja, jamaa atakuwa na maisha gumu sana… Atakuwa ata anaambiwa apike na aoshe watoto na akikataa makofi zinatembea.
Alafu ju hatatupa ngumi, inakuwa ivo :D:D:D
Let’s admit it, the dude is an alcohol junkie and seems to not be in a position to provide for his family (rent and food to be precise). If you know you can’t get your sh!t together then don’t marry or sire kids it is simple as that