Kushaftiwa bila lube.

:D:D:D mtu anasema mimi ulike kuku ya steers sipendi za galitos, nandos, rocomomma, chicken inn kumbe kuku zote zimepikwa depot moja pale GM mombasa road
[ATTACH=full]285464[/ATTACH]

The only chicken natambua is teriyaki Japanese (mama ngina).Inapikwa ukiona and you can modify the way you want

i have always known this.

the irony of the current times hapa nai ni ati watu wa nai wenyewe we are going for kienyeji stuff…but shagzmodz ile excitement wako nayo ya fastfood,wacha tu.maselfie kfc na pizza inn…

Same company, different brands. Fanya hii exercise. Enda ukule kuku Chicken inn. Next day enda ukule Bakers Inn pale karibu na Afya Center stage ya wakisii. The spicing is totally different. So yeah. Just because the brands are owned by the same company doesn’t mean the chicken tastes the same. I personally prefer chicken ya Baker’s Inn than Chicken Inn.

Company za Zimbabwe zinacontrol market kenya,