Kush Kanono pale gulf

Na msee hapa Kenya anajivunia bro yake ama Chali yake Ako majuu, Kila time ni nitumie Doo na akikosa kutumiwa anakasirika, yet jamaa anateseka pale uarabuniā€¦

Nakula ugali number 2, fish fillet from Kisumu and kienyeji vegetables from nyandarua alafu nikule mrembo. Afadhali Kenya

Huyu ni kama alienda huko kukula