tukiwa class 4 tulikuwa tunajuwa jamaa analeta madame kwa keja near our house. sasa mimi na joshua tunaenda kuchungulia, after tumewaona wako uchi tuna anza kucheka…sasa siku moja jamaa akaleta mzoga kama kawaida nikaita joshua tukaenda cinema.
kufika sparta nika angalia maneno macho ikawa safi joshua akaingia viewing point…ujinga akanza kucheka,
kumbe jamaa alimskia akachukuwa kijiti moja ya broom akarusha kwa iyo mwanya tulikuwa tuna watch:(
jamaa akadungwa jicho all the mojole ikamwagika kama mahira… ile nduru alipiga sijawai skia,then uyo jamaa akafungua mlango akatoka…sparta kuona ivo nikatoka kijiko
nikawacha joshua apo… na nikaenda home nakunyamaza kama jamaa hajaona kitu
fast forward joshua alipelekwa hosi,but jicho could not be saved, yeye ni kaa fetty wap…always na miwani siku izi joshua ni gospel artist…aki ulizwa what happened yeye husema alipataa accident:eek:
we experienced that more often than not especially when peeping thru a mabati shack that was a movie theatre then in my home center.
Those mabati things would have perforations all round at the back to the advantage of vihiis who’d come to enjoy the unpaid cinema. All first movies were preceded by porn. A brute would insert a nail or any hard object to discourage you from peeping in! Layers and layers of mabati were frequently added upon each but still we managed kutoboa quietly. Boys pass through alot