Kurutu

Some time back nilikuwa na manzi wasiwasi hivi lakini at that time it was convenient. Anyway, hakuwa anajua kudrive so mimi Kah Tony nikamshow of course nitakufunza. One thing nimejua manzi kiherehere hakuna kitu unaweza mfunza, if you want to test your relationship, teach a mwoman something new and challenging.
Kuna watu wengi wamekosana na madame juu ya hii story ya kufunzwa kudrive.
Anyways, gari ilikuwa manual so of course treble the challenge.
Tulikuwa tunapeleka gari yake service zile garage Zina shimo hapo chini. Dame akadai wacha niingize gari, nikamshow ataangusha kwa shimo, akasema “it’s my car hata ikianguka”…hiyo time niliwashwa sana na hiyo comment Juu hata sikuwa na afford ndae hiyo time.
Nikajitoa Juu nilikuwa najua bado hako ready for the challenge.
Lo and behold. Gari ikachumbukia kwa shimo.
Nikajitoa polepole nikaingia mathare hadi mtaani.
Picha ndio hii…
[ATTACH=full]37171[/ATTACH]

1 Like

halafu ukaenda Njoro ukakua Police Inspector

4 Likes

Kila mtu lazima awe kurutu… umeshakuwa kurutu wa herikopta?

Hehehehe hii ni epic.

Kumbe nyaumbani ni Mathari Mental?

1 Like

Sema ukweli. You must have had some pervese pleasure after the car went chumbwi ndani ya service pit…

2 Likes

Baadaye, what happened?

Malizia hekaya buda… Or that was the end of your symbiotic relationship??

1 Like

kuliendaje afta dat.maliza hekaya mblo…mimi dame kiherehere ni kukamua na kumtema ka red hot iron rod…iyo umeffi siwezi taka karibu na mm.

Kwani hao wasee walikuwa wameenda kunya!!!
ama manzi haambiwi

1 Like

Lakini MSI blame ma Dere sana, positioning ya hio pit is of the utmost importance. Kuna consultancy job ya petrol station tulifanya jamaa kwa ofisi aka offset hio shimo kimakosa to one side, contractor hakuona blunder na aka cast hivyo. Later wali notice but since blunder ni ya kila mtu wakaamua kukanyagia, the very first week hiyo petrol station ilifunguliwa gari ili chubukia pale

kwani ulipiga picha na cctv?

that’s a pic from an actual video. not his. i’m sure he’s making his story credible by adding a pic. but the pic if for another vid.

2 Likes

thanks for the clarification, but my cheek was full of tongue when i asked…[SIZE=1]even now[/SIZE]

so you’re not grateful for my info clarification? damn! the way i typed na nguvu…ni sawa tu. another day.

1 Like

Kumbe hauko kamiti juu ya kuwa fake pekee…

1 Like

I meant mathree…I guess auto correct yangu imezoea ku-type mathare. Lazima story iwachwe pending, hiyo ndio utamu wake…msingojee part 2.

1 Like

Fake story with a video-grab as evidence. Kwani garage ni yako ukaweza ku pata CCTV?

Wacha kuwa square, the picture is obviously for illustration

1 Like

you could just let it end pale ulirudi mthare by trying to make your lies look credible you lost the benefit of doubt that could have been given by thinking we are not relevant with cctv, ama huwa unachange tyre kwa hio petrol station?