kurudi nyumbani update 4

mimi narudi kanairo. village life has become hard for me. In all my life in kanairo sijawahi have any incident anywhere, not even arguing with anyone. Huku juzi karibu niuawe pwana na vijana wa local. It was a planned attack. Last month but one, nilienda kufunga curtain ya mancave usiku napatana na sura ya kuogofya ikiniangalia and they started pacing around. ALl these juu mimi na my Ethiopian wife tunatesa kijiji tukitokea kuenda church. village jealousy is a disease here. Ata kununua nyama kila siku huku ni shida. mimi wacha nirudi kanairo as I nurse my injuries

let me guess, either wewe ni mluhya ama mkamba :D:D

not even close

as a luhya I can say shags kwetu Kuna hyo wivu ya kijinga

as a luhya I can say shags kwetu Kuna hyo wivu ya kijinga

Huyo Ethiopian wife yako,si uniuganishie sista yake.

I hope they didn’t touch ur wife

no… mmoja anawekwa maji kenyatta as we speak

I have so many questions but most important one comes to mind, kwani hio kijiji yenu haina birrionaires?

Hoi polloi za kwenu ocha zinaweza afford a decent livable wage when doing their daily hustles?

Ur attackers?

ata wao wanastruggle na hawa lazy villagers who stay in the shops idling all day

@Lordsavegery why not move to a different rural area?
I moved out of Nairobi too, but didn’t go to my shagz. Nilienda kwa wenyewe. But I keep a low profile. Kwanza next year ni elections and you just never know with Kenya.

:D:D:D son I believe you

noma sana. hiyo ni village gani kabron. Hiyo sura umedescribe inakaa dim eye

You dont say?

Achana na Tiwa savage ama atakunyorosha ki bolo yeung

Your Ethiopia wife came from a war ridden country, and thought she had hit a jackpot, kumbe na wewe unampeleka kwa mang’ang’i .

mkisii…thats where wivu imejaa kwa wingi

ocha ata ukimwaga mchanga ya kujenga wanakuja kusanya

You are right. Mpaka wakisii wako na e’tayasbora in eve-re towni ini kenya wakitorokea huo wivu :D:D