kureverse pesa ya hongo

after ume reverse pesa zenye ulitumia karao ya hongo kuna venye wanaeza kukutrack? ama kunaeza kua na noma yeyote?

Wata tumia your number… Yo check what business you do…

Then call using a different line to lure you…

‘’

I think it depends on the seriousness of the crime you are accused of, the evidence the cop has and the possibility of crossing paths.

Imagine kama ni kitu kama obstruction of traffic hapa tao. Haraka haraka unajitoa kwa ngori na empesa ukiwa kwa street. Ukireverse transaction ukiwa half way to emali, unadhani alikuwa hata na time ya kuangalia namba ya gari? On the other hand, kama wewe ni dere wa mathree yenye hukuja mahali huyo karao huwa posted, chances of you meeting again are high.

Kama ni kitu kama obstruction ama kuendesha gari bila licence, na unajua itakuwa vigumu nyinyi kupatana tena, akikupigia unamwambia “sikupatii pesa na nikikata hii simu nakublok”.

Lakini kama ni kitu kama serious fraud…

Which cop in this day and age accepts to leave behind electronic evidence of a felony? Danganya watoto kwenu

Ni coz ya hizi ma sheria za corona na haikua pesa mingi hata. Thao moja

You underestimate the stupidity of our D-. It is infinite my brother. Hata kuna wale hujitumia after kushika mtu then wanadelete message thinking they have done away with the evidence.

Wanakuanga na mpesa number

In fact huyo alienda kwa messages zangu na aka delete hio message ya mpesa :D:D

Wewe unacheza

It depends with the crime. Small amounts for petty offences, they won’t even bother. He’ll just laugh and lesson learnt for him.
But if its a crime that will land you good time in prison and some good amount, say over 10K. They will purpose to tactfully lure and nab you somewhere. Sasa ndio utalipa mara kumi for wasting their time.

which cop accepts mpesa?

hiyo si ni ku reverse kama umesonga? :D:D

Siku hizi wakambia uweke kwenye "pochi la biashara ’ where you cannot reverse and if you frame him with the message atasema kuna kitu alikuuzia. Case closed.

:D:D:D au sio

ulikua unafikiria wanapokea hongo aje

There’s a reason MPesa shops are so many around and within any police station. They wouldn’t want to inconvenience you. Toa pale ulete cash

Mimi nilipewa till no ya some bar:D

Nowadays hizi ndo zao …

Wakinituma mpesa na hepa

Wanakutuma ka ukona HANDCUFFS kwa mpesa iko mbali na kwenu na stenje.
And then unarudi ndani ya land cruiser mnaendelea mbele…like after another 5 kilometres ndio wanaku uliza kama kwa hio doh uliwithdraw ulijiwachia fare ya kurudi home…sahio wanafungua pingu…ndio wanakuambia haya safari yako imeisha…shukia hapa.
Boss umeshukishwa place mtu akianza kulia mwizi…unachomwa na story yako imekatika…cops ni washenzi sana.