Hayawai hayawai hatimae huwa. Siku ya Ndovu kumla mwanae ishawadia na sasa wananchi wathibitishe upendo wao kwa rais kwa kumpatia nafasi ya pili. Kush yule mafuta weka kura yako penye unataka. Hatukulazimishi.
Boss umefukuza Kiswahili.
3 Likes
Kiaje sasa. Sema Kiswahili kilikupiga chenga
1 Like
Hayawai :D:D:D:eek::eek::D:eek::eek:
1 Like
Ooooh my goodness…!!! I didn’t realise that. I meant HAYAWI