Kuponea Chupu Chupu complete.

Wazito hii story ilijipost bahati mbaya. Saii niko Muranga Mazishi.[ATTACH=full]55614[/ATTACH]

Since ni ma speeches zinachapwa, wacha nimalize hekaya.

So ile meeting point ilikua kwa hii garo. [ATTACH=full]55615[/ATTACH]

One of wale mafans wamekaa paleeeee alikua agenye. Infact ni yule jamaa amekaa hapo na hood na kofia. Hajarecover bado from the shock.

So his team (the hooded guy) trains at 7:30 Am na inacheza ligi ya Nairobi county. The coach is a longtime friend of mine na namjua kama mjamaa strict sana. In short kama hutafika by 7:30 ata usikuje for one week. Back to the ninja’s masaihibu.

The guy stays some 1km from the field so lea akaamka kitu 7 Am. Wahhhh the next thing was to rush to grao since wako na game crucial hii weekend yenye ni determinat ya wao kucheza nation wide league. The guy’s bag was wet hence the closest bag ilikua an old kibeti ya mamake. Jamaa akaichukua na kutoka mbio kufik nyama villa, akadandia pickup ndio afike grao chapchap.

Hapo cooperative bank Kayole, pamba wa hiyo mtaa akaona kijana amedandia pickup na ako na kibeti. Kwa akili yake akaona mgondi. Akachukua nduti chapchap na kuanza kumfuata. Kijana yeye hakuwa na copy kufika kwa chwom inaenda grao akadondoka na kutoka mbio. Remeber this is a disarted panya route na “pamba wa 1960” ako in pursuit.

Jamaa kukimbia ndio asichelewe anashtukia akishoutiwa simama, simama wewe. The thing happend so first hadi akachanganyikiwa. Kumbuka ni saa moja na kuna baridi. Pamba ashatoa ndenga kijana sahiyo ashafika grao akaanguka chini sahiyo pistol ya “pamba” ishakokiwa ready to fire. Kupiga ile kibeti search, pamba akapata viatu za ball na socks chafu sana. “Pamba wa mtaa” amebreath na kuchapa jamaa makofi mbili moto then akamuuliza ulikua unakimbia nini sasa.? Jamaa akajibu alidhani ni wale wasee wa pickup ndio walikua in pursuit so ndio akaongeza speed.

ehe, nayo hiyo lorry ya kina @mishty inamwaga nini hapo nyuma?

Tuseme officer @pamba hakuwa in the mood ya kufyatua?

Apa ni calvo?

Hehe … tho hauja tumalizia hio hadithi ya @snapdragon . Uko vizuri

Mimi niko poa na pia kijana wa hood ako poa

Uncle kumbe ni wewe ulivuka na ile Tata ya @introvert ?
Ama sio hio hapo nyuma umei-repaint white

Hio hekaya ni muadhara sasa footballer angekula ndengu si ingekua mbaya

VIATU ZINA FIT AJE KWA KIBETI ?

Angetumia tu paperbag ya black…kibeti haiwezi joh. Noma lakini, mghetto angelose life rahisi sana.