Kupeleka Gari Scrap Metal

Wadau, what details and documents do I need to get a car scrapped and kama ni gari yenye hizo details hazipatikani, what’s the procedure?

Kwani umeiba gari

Unataka kupima gari kilo uuze ukiwa chuma?

logbook pekee imetosha