kupaka vifaranga rangi

vifaranga wangu ni free range na wanaliwa na mwewe sana, i once saw on tv jamaa akipaka vifaranga rangi ya purple n it was a good deterrent. since there are no such services here, naeza wapaka any rangi or is it a special paint or is there anyone offering such services huku muranga county? saidieni sunnymango prrisss

wapake tu. it works. Surely, u dont need someone to do that. I think ka unaeza pata hair dye colored inaeza kuwa poa

1 Like

[ATTACH=full]48561[/ATTACH]

2 Likes

any purple or pink food grade dye (commonly referred to as food colors) or GV will do…lakini usiwaoshe miguu (cluck cluck!!!:D:D:D:D:D)

2 Likes

Kata mtungi,weka rangi,deep the chicks kama unazibatiza

3 Likes

Muranga wapi?

1 Like

Dry spell inaniua

nunua GV,kuna ile ya ngombe huitwa sijui athromycin ama aje,its a spray can,rembesha vifaranga.consider buying a duck to watch over the chicks,mwewe hawes karibia “bata kiengei/mwengeo” zile local. avai nwaigua?

1 Like

kuna frr mahali inauzwa lakini iko na shida ya engine nitafutie soko

@Guru Hapo karibu na kwenu,

1 Like

@muria.mboco thanks nimeijua io spray

expensive for nothing…but it is a good antibiotic for animal wounds…food colour ya kuku mia wont cost you more than 40 kwa supermarket…

@gashwin nitanunua wapi hii food color

food colour won’t make the chicks look more tasty to the fisis? si hapo ni Kama kuambia mtoto wako apake make up tuboys hawatamkaribia?

3 Likes

Kwanza na hii baridi, wewe kwisha. I told you to get a nod from @gashwin

1 Like

:D:D:D:D:D:D:Dapake GV basi

1 Like

Yaani siwezi pata hata ya sympathy?

ungemwongezea kwamba hiyo ni absolutely futile pursuit…;):wink:

3 Likes

The vehicle is not yours, You don’t have any idea where such vehicles are sold and you don’t know the extent of the “engine problem”.
Clueless broker detected!

the vehicle is not mine i agree.
i am not a broker.
egine ime ‘knock’

1 Like