Kuomba soo moja is now the occupation of most slay queens

1 Like

Itisha mkia in return

5 Likes

Noted sir

They are experts in doing this. For every 100 requests hakosi kitu.
Easy money.

3 Likes

Akiingia inbosks ya majamaa Mia moja, the majamaa 50 watume, iyo ni Thao tano, kesho afanye rotation na wengine, after two days akurudie.

Wacha tuwe realistic, aitishe majamaa 30 Mia, halafu majamaa 15 watume
Iyo ni 3k daily on rotation
Mimi huona masray queen wanalipa hao za 40-50 k south b na hawana kazi nashangaa
I will never send hata 50 bob Kwa manzi sijakula.

7 Likes

Na anakuambia lend me ni kama atarudisha

1 Like

Pia possibly ya kukulwa mkia na majamaa 15 probably ka dry fry

2 Likes

Hao mostly ni veined tree holders.

Normalize asking them to go live akushow pudesh ndio utume doh.

Nothing for free.

1 Like

She knows very well kama umejazika na yeye huwezi kosa soo. Mwanaume hapendi kuonekana ako broke.

Sasa unapata mko kama 30 guys, mnatuma ma soo zenu, alafu kuna msee mdosi kama @MTINGIZA_KITANDA anaona soo itafanya nini sasa, mtingiza anatuma thao mbili. Mdem anatoka na 5k hio siku.

Keshoye anadu the same thing kwa another 30 different men in a different category kwa simu yake, wanatuma another 5k.

Siku ya tatu, sasa unapata akona “ELITE category” hapo anaitisha tu mia mbili, sasa hapo ndio kuna @NyundoReloaded msee anamtumia 10K akimuita baby love. Mdem anatoka na 16k. Yani hio wiki amechapa shughuli amaingiza 26k.

Alafu the last three days sasa kuna wale hupewa kuma, mmoja amjenge 10k, mwingine amjenge 20k sasa hapa ndio kuna kina @DukeOfKabeteshire wanatumanga maintence allownace juu wakona dem jobless nairobi na wako nje. Watu generous na pesa sio shida. Mdem on sunday anatulia na the broke boyfriend for love and affection, next week kazi ni ile ile. Anajua akikuja kwangu ntampea kazi afanye na hataki hio so anapigia Dr. @rexxsimba, rex anaitisha nudes tu na anmtumia doo. Rex anabaki na variety ya mbishas zake anatuletea hapa. Kumbe msee hununua hizo picha.

Alafu mnashangaa dem amenunua aje Mazda demio. dem jobless anstay kwa three bedroom solo, dem akona telly ya samsung 75 inch, dem akona keja kali kuliko our mbirrionnaires hapa, well furnished, hii ndio game plan yao. Uzuri wanaume si wajinga.

8 Likes

I only hit on women that are within a 20KM radius of where I live just like how I do business.

1 Like

Shida yako ni kuwakula peke yako hupatii elders through pass

1 Like

The kind of women I go for would intimidate most elders here. Mnakula vitu chafu na bado mnalipa

1 Like

Hekaya izi bila @Ebru fication

Ata Zakayo alisema “Nimetenga Bilioni tatu…nimefanya…tutapanga…SHIF, SHAH”. Sasa my friend mbona unaletea mimi kisirani. Compared to Nabii, I am an Angel.

2 Likes

Kama uyu veined tree holder, nko sure anaeza eka box elders wengi

Figsed. Wewe ndio utapewa block