Kuomba Duaa Baada Ya Swalaah Na Kunyanyua Mikono Inajuzu?

[SIZE=6]SWALI: Assalam Alleykum je ni sahihi kujiombea dua peke baada ya [/SIZE][ATTACH=full]252417[/ATTACH][SIZE=6][B]Swala[/B][/SIZE][SIZE=6] Kwa kunyanyua mikono juu[/SIZE]
JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho. Suala la kuomba du’aa baada ya Swalaah linahitaji ufafanuzi.
https://www.islamkingdom.com/sw/category/fatawa

syphilitic pig eater toa ujinga hapa

Hujamwambia freshi

Niombeni nitakupeni. …tuyaache mengi tu. …dua ni dua. …depends on my niyyat. .it’s my connection with him…ina maana kuwa wazee wetu itabidi tukawafufue tuwasilimishe tena. …ALLAH tuwache afanye kazi yake ya kuhukumu. …answaru sunna watatuonyesha mambo!

You should put this under the religion column

Meffiii peleka usenge mbali.

guys don’t anger mohamed.

We really fight and argue on things that aren’t fundamental to the religion. Dua baada ya swala, mara kuweka mkono kifuani ama kwenye tumbo, suruali isipite ankle…too much criticism.