Eh hiyo ni kali
kuweka githeri kwa mfuko na kukula mdogo mdogo
Kwerra Iām not weird let me say being social has never been my strongest points.
hehe used to eat sugar and mum always knew we had eaten some even without looking at the sugar containerā¦i always wondered what wizardry she was using too
Hyperactivity
Chapos kept you alive!
Not really. Gluttony and greed kept her aliveā¦ @Phenomenal Woman gukoroka
I would post one but then it would involve showing my rack so no
Na kuweka grains of roasted maize kwa mfuko unakula teacher akiandika notes kwa board alafu anageuka anauliza harufu ya mahindi Choma inatoka wapi
Ukipewa ile githeri chemsha, unakula hindi moja moja hadi beans peke yake zinabaki, unazichangamkia mos mos, savoring every bean ukichunga sis asikufanyie kihibrania!! She had this habit of making sure umekula mahindi yoooote and then when youāre just about to embark on the beansā¦
Kihibiraniaā¦my granny used that word alot. Still does.Wewe @IsMundu kwa nini wafanya nikushuku
Camping all day with my friends on construction sites so the fundis would buy us kaimati and githeri which was always sweeter than ya nyumbani.
Shida was persistent requests ya kuwaitia auntie (househelp).
did the fundis touch you ?
NAKUMBUKA KITAMBO , MADHE AKIDECLARE BY 9PM WATOI WAENDE WALALE, EXCEPT ON SATO WHEN YOU COULD WATCH SATURDAY NIGHT MOVIE BUT ON SUNDAY NIGHT AT TEN KULIKUWA NA SHAKA ZULU SO AKISHAWATCH THE BOLD AND THE BEAUTIFUL AKAENDA KULALA . NAAMKA POLEPOLE NAENDA SITING ROOM NAWASHA ILE PHILIPS COLOURED YA MBAO 21 INCH , NAWEKA VOLUME MINIMUM KABISA HATA SISKII KITU , NAREDUCE LIGHT KABISA THEN I ENJOY MY SHAKA ZULU . ILE SIKU MBUYU ALINIPATA AFTER KITU 9 MONTHS ALIONGEZA VOLUME NA LIGHT NA AKANIWEKA KWA LAP TUKAWATCH. :D:D:D:D:D:D.
kugongoa mahindi mzima boiled or roasted then unajaza mfuko zote then in class unakula moja moja mpaka ur neighbor anakufanyia homework ndio umpatie.
Sina mambo kaka!
eish by then si zitakuwa harder than diamonds
mimi na nyama tulianzana kitambo,kuna wakati tukiwa wadogo rafiki yangu alikuwa anawachiwa butchery ndio aoshe viombo vya supu na butchery,sasa nilikuwa naenda kumukalisha,wakati anaosha mimi naingia najikatia kisteak kama nusu kilo,sasa siku moja nikakata na kwenda na kuiweka kwangu halafu nikatoka,hiyo siku ndio ilikuwa ya forty,si mwenye butchery alikuja kumwangalia kwangu na sikuwa nimefunga akakuta nyama juu ya meza na akaibeba.sikuwahi kukanyanga kwa hiyo butchery tena
HIZO MAHINDI NGUMU NDIO POA HAIISHI, UNAKULA ONE GRAIN FOR FIVE MINUTES
nilikuwa naipika kibutchery,everything at once,nyanya,viazi na tumaji kidogo hakuna kuweka mafuta,hizo nyakati ningenona juu ilikuwa kila siku expect sundays
MWAKA GANI HII MBOSS