Kunyeshewa kama burukenge.

Morning people! Leo Elgin ain’t working. Nimefika job nimenyeshewa kama kuku, Our head kuniona akanishow nirudi home nichange na nipumzike tu. Riding downhill was one hell of a ride, went down three times,no serious injury anyway. ION, it’s my birthday today. Booom!

Wewe manasema nini sasa? (Confused)

HBD… Lakini hata sketch mark ya ukinyesha…eeh! Sorry ukinyeshewa.

Teacher Elgin kwani gari ulirusha uber? ama bado hujaichukua?

Happy Birthday Elgin.

Happy birthday Mwarimu. sisi kama warimu tulikubali vumbi na matope ndio zetu lakini watoto lazima wasome…:D:D:D:D:D

Bado sijachukua, na hata hivo barabara huku ni kama shamba, So the bike is still quite handy.

Nunua rain poncho. They work better than umbrellas. Happy birthday

Wapi huko kuna mnyesho na weather men wamesema rains zimekatika as from today?

Happy birthday to you mwalim. Mwanaume ni kunyeshewa

hbd mwarimu,tunga award winning shairi leo

umeandikwa kama mwendeshaji kifikifi ama wewe ni wa uber nduthi? hence kunyeshewa

Hehe, mimi huenda job kwa kutumia kifikifi yangu.

@Mukarara, really:D:D:D

Chuka town is raining crazy since jana jioni

I beg to differ,mwanaume ni kunyesheana

Nenda ambia watoto uko na Bday.

Mwalimu happy birthday lakini uwache tabia ya kukula watoto wa shule

:D:D
Happy birthday mwarimu.
Kwani ulikuwa unaogelea kwa matope?

Happy birthday mwalimu… Mvua Ni baraka